YANGA YAWEKA REKODI


Timu ya mpira w miguu ya Yanga imeweka rekodi ya kucheza hatua ya hatua ya makundi ya michuano ya klabu Afrika kwa mara ya pili ndani ya miaka 18 baada ya kuiondoa Sagrada Esperanca ya Angola katika mechi ya marudiano siku ya jana.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »