NJIA ZA KUONGEZA HAMU YA KUSOMA
- KUJUA NINI UNAHITAJI AU MALENGO YAKO KUPITIA KUSOMA
- MBINU ZA KUKIPATA UNACHOKITAKA
- UWE TAYARI KUFANYA LOLOTE ILI UWEZE KUPATA UNACHO KITAKA
- AMINI UNAWEZA
- UWE TAYARI KUKABILIANA NA VIKWAZO
- USIPENDE KUFIKA MBELE KABLA YA KUANZA NYUMA(uwe mvumilivu)
- USIKATE TAMAA
- KILA SIKU JARIBU KUFANYA JAMBO LA TOFAUTI ZAIDI YA LILE LA JANA Quote;(what ever you do today do it better tomorrow,the seeds of today are the fruit of tomorrow)
- MTEGEMEE MUNGU
- ONDOA NENO SIWEZI WEKA NAWEZA (Amini unaweza)