UncategoriesFloyd Maywether hunyoa kwa mara tatu kwa wiki kwa gharama ya..
Floyd Maywether hunyoa kwa mara tatu kwa wiki kwa gharama ya..
Bondia wa kimataifa mwenye uzito wa juu Floyd Maywether,hunyoa mara tatu kwa wiki kwa gharama ya shilingi laki mbili kila anaponyoa.Ni fedha nying kwa hali ya kawaida lakini ndio kiasi anachotumia bondia huyo.