YESU KRISTO NI MWOKOZI WA MAISHA YAKO

   Yesu Kristo aliacha Enzi na Mamlaka MBINGUNI, Akaja Duniani kwa ajili yako, kwa ajili yangu na kwa ajili yetu wote, na hii ilikuwa kwa sababub ya dhambi zetu, siyo kwamba yeye alikuwa na makosa bali ni kwa ajili ya dhambi zetu na kutuokoa katika utawala na mamlaka ya yule adui ibilisi shetani, ikimaanisha kututoa katika ulimwengu wa GIZA na kutuleta katika ulimwengu wa NURU, na kutupa UZIMA WA MILELE. Alidharauliwa, alitemewa mate na kuteswa na kusulubiwa msalabani. hii yote ni kwa ajili ya ukombozi wetu wote.
    Kumbuka ukimkiri BWANA YESU KRISTO kwa kinywa chako na kuamini MOYONI mwako ya kuwa YESU ni BWANA na MWOKOZI WA MAISHA yako, UTAOKOKA!!!!

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »