UncategoriesMWANAFUNZI WA CHUO AFARIKI BAADA YA KUMUUA MTOTO ALIYEMZAA
MWANAFUNZI WA CHUO AFARIKI BAADA YA KUMUUA MTOTO ALIYEMZAA
Mwanafunzi wa chuo kikuu cha mzumbe afariki dunia.Hii ni baada ya kujifungua mtoto na kumuua,kitu kilichomfanya binti huyo kufariki dunia ni kutokana na kuvuja damu nyingi bila kupata msaada.