KUTOKA BUNGENI LEO Naibu Spika aahirisha Bunge kufuatia wabunge wa Upinzani kumgomea baada ya kuwakatalia kujadili hoja ya kurudishwa kwa wanafunzi Chuo cha UDOM. Wanafunzi wapatao 7000 wamerudishwa nyumbani. Author : Unknown Share this Related Posts