DIAMOND PLATNUMZ & NE-YO NDANI YA ROCKY CITY..

Msanii wa bongo fleva anayetamba kwa sasa na hit song ya make make me sing,aliyoshirikiana na msanii kutoka South Afrika A.K.A anatarajiwa kupiga show moja ambayo haijawahi kutokea ndani ya jiji la Mwanza akiwa na msanii kutoka Marekani Ne-Yo.Show hii itafanyika jijini Mwanza siku ya tarehe 21 mwezi huu.
                                            

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »