SAFARI.....!

Safar ni neno lililo zoeleka saana katika jamii ya wengi kwan weng
husafiri au huama kutoka eneo moja mpaka lingine kwa maana mbalimbali
hebu tujiulize maswali
1.safar ni kwa kuhama kimwili tu au?
2.safar zipo za aina ngapi?
3. Kwa mawazo yako unafahamu safar za aina ngapi?
4. Je? Umewahi safir?
5. Unafikir unaweza ishi bila safar na ukafanikiwa TAFAKARI! Kwa upande wako

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »