Ni wiki sasa imepita tangu vijana wa kidato cha sita IFUNDA TECH wa sheherekee mahafali yao. Imekuwa kama jambo la kawaida watu kusheherekea na kupunguza rate ya kuhudhuria ibadani Jamani si jambo la busara Tuwe makini na Mungu tunaye mwabudu TUNAWATAKIA MAANDALIZI MEMA NA MTIHANI WA NECTA